Songtexte & Übersetzungen von Call First
Wir haben 1 Songs von Call First mit Songtexten und Übersetzungen
Call First

O Sifuni Mungu
Artista: Call First Traducción porpanzas | Publicado 2 years ago
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Viumbe vyote vya mungu wetu
Na mfalme wetu
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Pazeni sauti ili nasi mwimbe
Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu
Watu wote
Viumbe vyote
Awaye yote
Sifu mungu